AyoTV

VIDEO: Alichokizungumza Prof. Mkumbo baada ya kuapishwa

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo  Aprili 5, 2017 amewaapisha viongozi aliowateua kushika nyadhifa mbalimbali akiwemo Prof. Kitila Alexander Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji. Baada ya kuapishwa Prof. Mkumbo alipata nafasi ya kuzungumza……

Maisha yangu yote nimetumia muda wangu kuihoji Serikali, nimepata fursa sasa kushiriki kikamilifu badala ya kuhoji nina kazi ya kujibu maswali, Rais nikuahidi nitaifanya hiyo kazi, nitajibu hoja zote za Serikali’Prof. Kitila Mkumbo

VIDEO: ‘Tunataka tujue kama tunaibiwa, tumeibiwa kiasi gani?’-Rais Magufuli, Bonyeza play hapa chini kuitazama 

Soma na hizi

Tupia Comments