Top Stories

Papa Francis amteua Ludovick kuwa Askofu mpya Jimbo la Moshi

on

Papa Francis amemteua Askofu Ludovick Joe Minde, kuwa Askofu mpya Jimbo la Moshi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Askofu wa Kahama. Jimbo Moshi limekuwa wazi tangu Desemba 27, 2017 wakati aliyekuwa Askofu wake, Isaac Amani Massawe alipoteuliwa kuwa Askofu Mkuu, Jimbo la Arusha.
KIKONGWE ALIEJIFANYA HAJUI KISWAHILI AWAVUNJA MBAVU WATU AKIDAI SHAMBA LAKE KWA WAZIRI
https://youtu.be/BYRSVwMQfHE

Soma na hizi

Tupia Comments