Duniani

Maneno ya TB Joshua baada ya kudaiwa kutabiri uongo uchaguzi wa Marekani

on

Mhubiri maarufu wa Nigeria TB Joshua amefunguka kuhusu utabiri wake ambao alioutoa kuwa mgombea Urais nchini Marekani Hillary Clinton angeshinda lakini haikuwa hivyo.

Kupitia account yake ya facebook ametoa ufafanuzi kuhusu utabiri huo ambapo amesema Hillary Clinton alishinda kwa wingi wa kura licha ya yeye kushindwa kutokanaka na mfumo unaotumiwa kwenye uchaguzi nchini Marekani…..

>>>’Tumeona matokeo ya uchaguzi nchini Marekani, Baada ya kusoma, utaelewa kuwa hii inahusu kura nyingi, kura ya waamerika wengi kwa hali hii tunahitaji roho ya nabii kutambua au kumuelewa nabii, viwango vyetu ni tofauti, hatuko katika viwango sawa‘;TB Joshua

tb-joshua-6655

Ulikosa hii ya Vurugu zilizoibuka kanisani Arusha baada ya Bwana Harusi kudaiwa kufunga ndoa ya pili? Bonyeza Play Hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments