Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mwanachuo wa Ardhi University Dsm kafikishwa Mahakamani, ishu ilianzia Whatsapp
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Mwanachuo wa Ardhi University Dsm kafikishwa Mahakamani, ishu ilianzia Whatsapp
Mix

Mwanachuo wa Ardhi University Dsm kafikishwa Mahakamani, ishu ilianzia Whatsapp

January 27, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Leo January 27 2017 kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es Salaam (ARU) Juvenal Shirima amepandishwa kizimbani akikabiliwa na kosa la kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa WhatsApp.

Mshtakiwa huyo alisomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Godfrey Mwambapa na wakili wa Serikali, Adolf Mkini ambapo Mkini alidai kuwa mshtakiwa January 13 2017 kupitia WhatsApp Group la ‘Lowassa Foundation and Bunge Live‘ alichapisha taarifa za uongo.

Wakili Mkini, alinukuu maneno hayo ambapo Shirima aliyachapisha…’ Nimepata rhema ya mipango michafu sana iliyokuwa inapangwa na bado inapangwa dhidi ya uhai wa mbunge Godbless Lema…’

Hata hivyo, mshtakiwa huyo alikana kuhusika na kosa hilo ambapo Wakili Mkini alisema upelelezi wa shauri hilo haujakamilika na hana pingamizi na dhamana.

Hakimu Mwambapa alimpa masharti ya dhamana mshtakiwa huyo ya kuwa na wadhamini wawili watakaosaini bondi ya milioni mbili kwa kila mmoja pamoja na barua ambapo hata hivyo mshtakiwa huyo alitimiza masharti hayo ya dhamana na kesi imeahirishwa hadi February 9 2017.

VIDEO: Tazama hapa kwenye hii video jinsi Jeshi la Magereza Tanzania lilivyoonyesha uwezo wake ya kupambana na Mfungwa na mengine

You Might Also Like

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

TAGGED: TZA HABARI
Edwin Kamugisha TZA January 27, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Nchi ambazo kipato cha familia hutumika zaidi kwa ajili ya chakula tu, Afrika zipo nne
Next Article Utani wa Manara kuhusu Jerry Muro kupungua kilo 4 kwa kufungiwa (+ video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Top Stories

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?