Katika mkutano wa saba wa bunge uliofanyika April 6, 2017 ambapo wabunge walikuwa wakijadili mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
Kati ya wabunge waliopata nafasi ya kusimama kuchangia bajeti hiyo ni pamoja na Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ambaye baadhi ya mambo aliyozungumzia ni pamoja na hali ya uchumi wa nchi pamoja na tatizo la Serikali kushindwa kusimamia migodi mikubwa kusaidia nchi kujipatia mapato.
VIDEO: Mapokezi ya Nape Nnauye baada ya kufika jimboni kwake Mtama
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo