Habari za Mastaa

Kwa majonzi Mama Kanumba amerudi kaburini kwa mwanae (video+)

on

Ni Octoba 1, 2021 ambapo Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba amefika Katika Makaburi ya Kinondoni kisha kufanya usafi kaburi la Steven Kanumba.
Ayo TV & Millardayo.com imefika kaburini hapo na kazungumza na Mama Kanumba.

STAR KUTOKA SOUTH AFRICA CASSPER NYOVEST LIVE JIJINI ARUSHA

Soma na hizi

Tupia Comments