Top Stories

Kwa mara ya kwanza faru weupe kuletwa, Waziri azungumzia (+video)

on

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamis Kigwangala amefanya ziara katika Hifadhi zinazopatikana maeneo ya Kanda ya Ziwa ambapo ametumia nafasi hiyo kueleza mipango waliyonayo kwa upande wa kuongeza wanyama kwenye Hifadhi.

MDEE ALIVYOMTANGAZA LEMA KUSHINDA NAFASI YA UENYEKITI KASKAZINI

Soma na hizi

Tupia Comments