Top Stories

Kwa mara ya kwanza Kikwete kafunguka utendaji kazi wa Rais Samia (video+)

on

Rais Mstaafu wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete amesema Nchi inakwenda vizuri na kero na changamoto za sekta mbalimbali zinatatuliwa ikiwemo afya ambapo Serikali imeendelea kutambua umuhimu wa kuongeza wigo wa huduma za dharura.

Dr. Kikwete amesema, Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kazi nzuri na analeta matumaini kwa Watanzania kwa manufaa ya Nchi ya leo na kesho.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea kila kitu unaweza ukabonyeza play kufahamu alichozungumza Mstaafu Kikwete.

KAULI YA KWANZA NDUGULILE BAADA YA KUTENGULIWA NA RAIS SAMIA

KWA MARA YA KWANZA MAKAMBA AFUNGUKA BAADA YA KUTEULIWA NA RAIS SAMIA “SIO KAZI NYEPESI”

Soma na hizi

Tupia Comments