Top Stories

Kwa mara ya kwanza Membe afunguka utendaji kazi wa Rais Samia “Asiogope” (video+)

on

Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi jasiri na mahiri, anatosha kuiongoza Tanzania na anamuunga mkono kwa kazi kubwa anayoifanya. Membe ameyasema hayo leo (Jumanne 5 Octoba 2020) alipozungumza mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ambaye yuko katika ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo Mkoani Lindi.

Membe amemuomba Waziri Mkuu afikishe salamu zake pamoja na za wananchi wa kijiji cha Rondo kwa Mheshimiwa Rais Samia kwamba wanamuunga mkono katika jitihada kubwa za kuwaletea wananchi maendeleo.

MBUNGE ALIECHOMEWA GARI LAKE ADAIWA KUMPIGA KATIBU WA CCM, KAMANDA WA POLISI AFUNGUKA HAYA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments