Top Stories

Kwa Unyenyekevu Zitto Kabwe amuomba hili Rais Samia (video+)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15 Desemba, 2021 amefungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi Nchini katika Ukumbi wa Hazina, Jijini Dodoma.

Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia (TCD) Zitto Kabwe zitto ambaye amepata nafasi ya kuzungumza mbele Rais.

Soma na hizi

Tupia Comments