Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Kwenye daraja la Kijazi watu wanauza supu” RC Makalla
Share
Notification Show More
Latest News
Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi
August 15, 2022
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
August 15, 2022
Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania
August 15, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > “Kwenye daraja la Kijazi watu wanauza supu” RC Makalla
Top Stories

“Kwenye daraja la Kijazi watu wanauza supu” RC Makalla

August 26, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

“Leo kwenye Daraja la Kijazi kama ukienda kuna Watu wanauza supu ya utumbo na miwa pale chini, jamani sio kila eneo ni la kupika au kufanya biashara, kwa sasa tumeanza kuandika mabango ya kuzuia Biashara baadhi ya maeneo”

“Mkakati wa sasa Dar es salaam kila Barabara inayojengwa lazima iwe na taa, sehemu yoyote yenye uhakika wa usalama Watu watafanya biashara saa zote, matukio yaliyokuwepo nyuma tumeyapunguza kwa asilimia kubwa”

“Vitambulisho vya Wajasiriamali vipo katika kuwawezesha Wajasiriamali, awamu hii Vitambulisho vinaboreshwa zaidi kuongezwa taarifa zingine muhimu ziwasaidie pia kupata mikopo na kuweza kuwafatilia wako wapi, nia kuwawezesha Wajasiriamali wafanikiwe zaidi “

“Mimi kama Mkuu wa Mkoa inatajwa moja ya majukumu yangu ni kusimamia hizi Halmashauri na fedha zinazopatikana zinadhibitiwa ili zitumike kwenye matumizi sahihi yaliyopangwa” ———Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla via Clouds360.

“ALISEMA WATU WANAMDHARAU MUNGU HUKU AKIJIPIGA KIFUA” KONDAKTA ALIEKUA KARIBU NA HAMZA

You Might Also Like

Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi

Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’

Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu

Azikwa akiwa hai huko Madaba, DC afika eneo la tukio, ‘Jambo hili ni la kinyama’

Rais Samia atoa Bilioni 15 jimboni kwa Shigongo

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA August 26, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Waliotimuliwa vyeti feki waanza kurudishwa kazini na kulipwa (Video+)
Next Article “Angekuwa hai tungefaidika nae kwa mambo mengi, Polisi wametumia busara”- RC DSM (Video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Breaking: William Ruto atangazwa kuwa Rais Kenya, Shangwe na furaha zaibuka mitaani Nairobi
Top Stories August 15, 2022
Matokeo ya Urais Kenya kutangazwa leo, Mgombea Ruto awasili Ukumbini Boma ‘Kusubiria matokeo hayo’
Top Stories August 15, 2022
Live: Matokeo ya Urais nchini Kenya yanatangazwa muda huu
Top Stories August 15, 2022
Manara na Wana-Yanga wakomaa kuwa kejeli Simba ‘Mlete Mzunguu’
Sports August 15, 2022

You Might also Like

Sports

Club ya Wolves ya England kuleta makocha wawili Tanzania

August 15, 2022
Sports

Inter Milan wawapa Yanga cha kusema, Shaffi Dauda atia neno, Manara apigilia msumari

August 15, 2022
Sports

Barbara awatuliza mashabiki wa Simba, wataka Mzungu aachwe wana mashabiki na mbinu za Kocha

August 15, 2022
Sports

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?