Mix

AUDIO: ‘Machali kuondoka ACT sioni kama ni jambo baya’ – Zitto Kabwe

on

Baada ya mbunge wa zamani wa Kasulu mjini kupitia NCCR-MAGEUZI na baadae kuhamia ACT- WAZALENDO Moses Mashali kutangaza kuhamia CCM, kiongozi wa ACT-wazalendo Zitto Kabwe amezungumzia maamuzi hayo kwenye mahojiano na AyoTV.

Zitto anasema…>>>’Ni jambo la kikatiba kwa mtu kujiunga katika chama anachokitaka na wala sio jambo baya lakini chama chochote kinapopoteza mwananchama kinakuwa na huzuni, sisi tuna huzuni kwasababu tukio hilo limetupunguzia mwanachama mzuri‘ –Zitto Kabwe

Unajua siasa ni sawasawa na safari ambayo mnaanza pamoja lakini kuna wengine wanaishia njiani na wapo watakaofika hadi mwisho wa safari, sisi tuliopo tutaendelea na safari‘ –Zitto Kabwe

ULIIKOSA HII YA ZITTO KABWE KUGOMA KUPOST KWENYE SOCIAL MEDIA?

Soma na hizi

Tupia Comments