Breaking News

BREAKING: Madini ya Bilioni 32 yazuiwa kusafirishwa Airport DSM (+video)

on

Leo September 1 2017 Kamanda wa polisi viwanja vya ndege, ACP Martin Otieno amekutana na  wanahabari ili kutoa taarifa kuhusu mzigo wa Almasi ambao umezuiwa usisafirishwe kwenda nje ya Tanzania.

Kamanda Otieno amesema “tumezuia mzigo wa almasi ambao ulikuwa usafirishwe jana kuelekea ubelgiji, almasi hizo zilikuwa zinatoka mgodi wa Mwadui Shinyanga, tumeuzuia ili kujua thamani halisi baada ya thamani iliyotumika kutiliwa mashaka’

‘Tunatilia mashaka hii thamani ya Bilioni 32.8 kwa sababu ina maana tayari Serikali itakuwa imepata mrahaba mdogo katika gawio la hisa hii’-ACP Martin Otieno 

TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI KUFAHAMU ZAIDI

Ulikosa? Dr. Mahanga alivyofunguka ishu yake ya kukamatwa na Polisi inayosambaa, Bonyeza play hapa chini kutazama

EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mzee Kikwete kwake Msoga, mwenyewe asema “nanenepa siku hizi, mlikua mnanifujaBONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments