Baada ya jana October 1, 2017 Wabunge Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki na Godbless Lema wa Arusha Mjini kuonyesha video waliyodai ni ushahidi kuwa Madiwani 10 waliohama CHADEMA walirubuniwa kwa rushwa, leo October 2, 2017 Wabunge hao wamefika TAKUKURU makao makuu kwa ajili ya kuwasilisha ushahidi.
Baada ya takribani saa 2 walitoka na kuzungumza na waandishi, unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama AyoTV ilikuwa LIVE kutokea eneo hilo