AyoTV

VIDEO: Fursa kutoka kwa Rose Ndauka, Uhusiano wake na MC Pilipili Je?

on

Muigizaji kutoka Bongo movie, Rose Ndauka amezungumza na AyoTV na millardayo.com kuhusu GoodNews kwa wale wenye vipaji vya kuigiza  na anawakaribisha kwenye usahili utakaofanyika March 9 na 10 kijiji cha makumbusho Dar es Salaam pia amezungumzia ukweli juu ya taarifa za yeye kuwa mapenzini na Mc Pilipili. Bonyeza play hapa chini Kutazama.

EXCLUSIVE: Rais Magufuli ameugusa moyo wangu, natamani kukutana naye – Yvone Chaka Chaka, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments