Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: AUDIO: ‘Hatujaridhika na maamuzi ya mahakama’-Wakili wa Mbunge wa Kilombero
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > AUDIO: ‘Hatujaridhika na maamuzi ya mahakama’-Wakili wa Mbunge wa Kilombero
AyoTV

AUDIO: ‘Hatujaridhika na maamuzi ya mahakama’-Wakili wa Mbunge wa Kilombero

January 12, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

January 11 2017 mbunge wa Kilombero Peter Lijualikani alihukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kufanya fujo wakati wa uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kilombero mwaka 2015.

millardayo.com na AyoTV imempata wakili wake Tadey Lister ambaye amesema….. >>>‘Hatujaridhika na maamuzi ya mahakama, taratibu zingine zinafuata kwa mujibu wa sheria ikiwemo kutoa taarifa ya siku 10 ya kukata rufaa mahakama kuu na kupeleka rufaa mahakama kuu na tumeshapeleka notice’

Baada ya Mbunge wa Kilombero kuhukumiwa miezi 6 jela, Sheria inasemaje kuhusu Ubunge wake? Bonyeza play hapa chini

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

You Might Also Like

Waziri Nape atolea ufafanuzi kuhusu Bunge kutooneshwa live

Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu Mahakamani

Baada ya mjadala mzito bungeni kuhusu Ngorongoro, Waziri Mkuu atoa kauli

Ndugai aibuka kidedea Mahakamani, Wakili wa Serikali afunguka ‘Tutakata rufaa’

Kamati Kuu CCM yampitisha Dr Tulia Ackson kugombea Uspika (video+)

TAGGED: Bunge, Mahakamani, siasa
Edwin Kamugisha TZA January 12, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article ‘Nimewahi kwenda kwa Mganga wa kienyeji kueleza shida zangu’ – Darassa (+video)
Next Article Mwanaume aliyevua condom akiwa mapenzini ahukumiwa kwenda jela
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
Top Stories September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
Top Stories September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
Top Stories September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno

September 22, 2023
Top Stories

UN yaitaka Iran kuachana na sheria mpya kuhusu hijab

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?