AyoTV

VIDEO: Hoja za Mawaziri Mwijage na Mwakyembe kuhusu Bajeti Kuu 2017/18

on

June 20, 2017 Bunge limepitisha mapendekezo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo kabla ya kupiga kura baadhi ya Mawaziri walipata nafasi ya kujibu baadhi ya hoja za Wabunge na miongoni mwao ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage na Waziri wa Habari Harrison Mwakyembe..

MAGAZETI: Viongozi watatu CHADEMA matatani, Mgodi wa ACACIA wavamiwa tena 

Soma na hizi

Tupia Comments