Mix

PICHA 11: Jengo lililokuwa likilitumiwa na kampuni ya Mbowe lilivyoanza kubomolewa

on

Jengo la iliyokuwa klabu Bilicanas na ofisi za Free Media inayomiliki gazeti la Tanzania Daima zinazomilikiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’, Freeman Mbowe limeanza kubomolewa.

Ubomoaji huo ulioanza jana January 6 2016 na unafanyika wakati Mbowe ameingia katika mgogoro na NHC baada ya kampuni ya udalali ya Poster and General Traders kumtolea vyombo nje mwanzoni mwa September, mwaka jana kwa kudaiwa Sh bilioni 1.2 ambayo ni deni la pango. Nimekuwekea picha 11 za jengo hilo lilivyoanza kubomolewa.

0f8a9250 0f8a9252 0f8a9259 0f8a9252

DCIM101MEDIADJI_0003.JPG

DCIM101MEDIADJI_0006.JPG

DCIM101MEDIADJI_0007.JPG

DCIM101MEDIADJI_0012.JPG

DCIM101MEDIADJI_0013.JPG

DCIM101MEDIADJI_0017.JPG

DCIM101MEDIADJI_0019.JPG

VIDEO: NHC walivyotoa mali za Freeman Mbowe nje kisa deni la Bilioni, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments