Michezo

Kyliane Mbappe atabiriwa makubwa

on

Staa wa PSG na Ufaransa Kyliane Mbappe, baada ya kufunga goli dhidi ya Dijon FCO leo katika ushindi wa 6-1 wa PSG anaweka rekodi mpya.

Katika mchezo wa huo wa Coupe De France, Mbappe baada ya kufunga anakuwa kafunga jumla ya magoli 55 katika mechi 100 za ugenini ngazi ya club na timu ya taifa ya Ufaransa huku akitoa assist 29.

Kwa kasi anayoenda nayo Mbappe wakati huu akiwa na umri wa miaka 21, anaweza kuja kuwa mfungaji bora wa muda wote wa U-23, kitu ambacho kwa mujibu wa BeSoccer wanamtabiria makubwa.

 

Soma na hizi

Tupia Comments