Habari za Mastaa

Kylie Jenner atajwa kuwa Mwanamke wa kwanza mwenye wafuasi wengi instagram

on

NI Mwanamitindo kutokea nchin Marekani, Kylie Jenner ambae time hii ametajwa kuwa mwanamke wa kwanza mwenye wafuasi wengi mtandao wa Instagram.

Mrembo huyo ametajwa kuwa mwanamke wa kwanza kuwa na wafuasi Milioni mia 303,566,063.

Huku kidunia anaeshika namba moja kuwa na wafuasi wengi zaidi kupitia mtandao huo ni mchezaji anaekipiga klabu ya Manchester United Cristiano Ronaldo zaidi ya Milioni 393.

Mbali na kwamba kuwa Kylie Jenner ametajwa kuwa mwanamke wa kwanza mwenye  wafuasi wengi  kupitia mtandao wa instagram.

Pia jina lake liliwahi kutajwa katika jarida la Forbes kuwa ni miongoni mwa Mabilionea wanaoingia pesa hususani Kylie kupitia kampuni yake ya inayozalisha bidhaa iitwayo Kylie Skin.

Tupia Comments