social network

Maneno ya Kylie Jenner kuhusu umaarufu na washambuliaji wake kwenye Instagram…

on

Tunapowaona mastaa kwenye mitandao na social networks huwa tunaona na kuhisi kuwa kila kitu kuhusu maisha yao kimekamilika na wakati mwengine huwa tunahisi kuwa mastaa wengi hutumia nafasi walionayo kufanya chochote kile wajisikiacho kufanya kiwe kizuri au kibaya.

Je hii ni kweli kwa kila mtu? model na social media personality Kylie Jenner haamini kuwa kila mtu aliyemaarufu anatumia nafasi yake vibaya… siku chache zilizopita Kylie Jenner mwenye followers  million 34 Instagram aliandika…

kyliejenner2

>>> “Kwa siku sita zijazo, nitakuwa nashare na nyinyi stori za msahujaa 6 ambao kupitia wao nimejifunza vitu vingi kuhusu #kusemwa vibaya na kutumia nafasi walizo nazo kubadilisha mitazamo ya maisha”.<<< @kyliejenner.

Siku iliyofuata Kylie Jenner alishare picha nyingine na kusema; >>>“dada huyu alianza kusemwa vibaya alivyojiunga na chuo, lakini leo namuita shujaa kwa sababu aliweza kumudu kuishi na kusonga mbele… wakati mwengine inaniwia vigumu kupotezea zile comments zote mbaya zinazoandikwa na watu kwenye page yangu…#I love u Renee #MimiNiZaidi ya comments mbaya zinazoandikwa”. <<< @kyliejenner.

#Day1 – Renee DuShane (@ALittlePieceofInsane) a 21 year old college student who was born with #PfiefferSyndrome. Renee described it as “a genetic disorder where the bones in my face don’t really know how to fuse correctly so part of my jaw is really small. I had to have surgery when I was born so that my brain could grow.” Renee is so strong willed and a super intelligent girl who told me that while growing up she never had many issues with bullying. “I went to school with all the same kids all the way through high school. Right around senior year, I started getting very anxious about having to explain my condition to all of the new people I would meet in college. I started going on Tumblr and saw lots of profiles of positive, confident people” that inspired her to start sharing her photos even with her insecurities. “It’s so hard to keep myself from responding to the negative comments,” she told me. “Even harder is keeping my friends from getting angry.” It’s so important to have a great group of friends. Renee also told me about the tattoo she recently got of her life motto: Stay Strong, Always Love. “Loving is always going to be a better place than hating,” she shared. Check out Renee’s Instagram @ALittlePieceofInsane – she’s showing the world #IAmMoreThan my forehead. I love you Renee! She is so awesome & inspiring. Renee taught ME that #IAmMoreThan the negative comments that I read. A photo posted by King Kylie (@kyliejenner) on

Kylie Jenner akamua kufunguka kuhusu matatizo anayoyapata kila siku kutoka kwa washambuliaji wake kwenye mitandao ya kijamii, alisema anaumia na wakati mwengine huwa anashindwa kuvumilia na anajikuta analia…
“Watu ni wepesi sana kuona na kuhukumu vitu kwa juu juu tu, na watu ni wepesi sana kunisema vibaya kila siku na mara nyingine nashindwa kuvumilia, navunjika moyo, naumia, nalia” <<< @kyliejenner.

Soma na hizi

Tupia Comments