Breaking News

BREAKING: Serikali yalifungia gazeti la MwanaHALISI

on

Serikali imesitisha uchapishaji na usambazaji wa gazeti la MwanaHALISI kwa kipindi cha miezi 24 (miaka miwili) kuanzia leo kwa madai kuwa liliacha kufanya uandishi wa habari na kuanza kufanya kitu kinachofanana na uandishi wa habari.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abass amesema Gazeti la MwanaHALISI limekuwa likikiuka kanuni na sheria ya taaluma ya Habari.>>>”MwanaHALISI linafungiwa kwa miaka miwili.”

RPC Geita kathibitisha kukamatwa kwa Mbunge Musukuma

Soma na hizi

Tupia Comments