Mix

FULL VIDEO: Mfanyabiashara Ikbal kuhusu eneo alilompatia Paul Makonda

on

Baada ya taarifa ya Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi  kuwa mfanyabiashara Mohamed Ikbal amemdanganya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwa kumpatia eneo la ardhi lililopo Lingato Kisarawe II, Kigamboni-Dar es salaam ambalo si mali yake bali ni la Serikali kufuatia kushindwa kesi kati yake na wananchi.

Leo upande wa Mfanyabiashara huyo umejitokeza na kutoa ufafanuzi kuhusu eneo hilo na kusema kuwa Mohamed Ikbal ni mmiliki halali wa eneo la ardhi lenye ukubwa wa ekari 3500.

Ufafanuzi walioutoa upo kwenye video hii hapa chini, Bonyeza play kutazama

ULIKOSA? Waziri Lukuvi alivyosema kuwa kiwanja alichopewa Makonda kina utata, Bonyeza play hapa chini kutaza

Soma na hizi

Tupia Comments