AyoTV

FULL VIDEO: Mdogo wa Gwajima kuhusu kaka yake kuhoji vyeti vya Makonda

on

Leo March 9 2017 mwanasheria Methusela Gwajima amejitokeza mbele  ya waandishi wa habari na kuhoji mambo mbalimbali yanayoendelea ambapo amepinga kaka yake, Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima kuhoji kuhusu elimu ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda baada ya sakata la dawa za kulevya kuanzishwa. Bonyeza play hapa chini kutazama.

VIDEO: ‘Hata mke wangu sasa wanasema sio raia’- Paul Makonda, Bonyeza play hapa chini kutazama 

 

Soma na hizi

Tupia Comments