Ad

AyoTV

VIDEO: Hatua alizotangaza kuanza kuzichukua Waziri Mwakyembe baada ya kukabidhiwa ofisi

on

March 29, 2017 Waziri mpya wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe alikutana na watendaji waandamizi na Wakuu wa Taasisi za Wizara hiyo mjini Dodoma ikiwa ni siku moja baada ya kukabidhiwa ofisi ya Wizara hiyo na Waziri wa zamani Nape Nnauye.

Full video tayari nimekuwekea hapa chini…

VIDEO: ‘Wanasema Diamond na Alikiba hawakai pamoja, nasema kwangu watakaa’ –Mwakyembe 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments