Habari za Mastaa

AudioMPYA: Mbunge Professor Jay katuletea hii single yake mpya ‘Kazi Kazi’

on

Ni July 27, 2016 ambapo headlines zinamilikiwa na Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay kwa kuachia single yake mpya iitwayo Kazi Kazi aliyomshirikisha Sholo Mwamba.

Unaweza ukabonyeza HAPA kisha sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIIKOSA MANENO YA PROFESSOR JAY KUHUSU UJIO WA SINGLE YAKE MPYA BASI BONYEZA PLAY KUMSIKILIZA ALICHOKISEMA

Soma na hizi

Tupia Comments