Habari za Mastaa

Kaka yake Pancho Latino kasema marehemu hataagwa Leaders

on

Kaka yake Marehemu Pancho Latino anayeitwa Idan Magawa ametoa ratiba fupi kuhusu mazishi ya marehemu mdogo wake ambapo kasema kuwa wao kama familia wamekubaliana kuwa marehemu Pancho hataagwa Leaders bali ataagwa katika hospitali ya Lugalo siku ya Ijumaa kisha kuelekea Gairo Morogoro mahali ambapo ndipo atazikwa.

 Bonyeza PLAY kumtazama kaka yake Pancho Latino akiongea

UMEIONA HII YA SHUHUDA ALIYESIMULIA KIFO CHA PANCHO LATINO KILIVYOTOKEA MBUDYA. BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments