Video Mpya

AudioMPYA: “Champion’ ya Shilole yamrudisha Chidi Beenz, Shilole achana mwanzo mwisho

on

Huyu hapa mkali wa michano Chini Beenz kashirikishwa kwenye mdundo mpya wa Shilole ambaye amechana mwanzo mwisho kwenye ngoma yake mpya inatwa ‘Champion’, wimbo unadakika 3:04 karibu kuusikiliza hapa chini.

VIDEO: Steve kaongea “Hatuwezi kumuacha Wema aende tu Hata kama kakosea”

VIDEO: Mwijaku kafunguka “Wema amejirudisha nyuma hakuna mtu atakaye mpa dili kwa haya”

Soma na hizi

Tupia Comments