Top Stories

Godbless Lema atakiwa kuripoti Polisi leoleo bila kukosa, asema ‘msiogope’

on

Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Godbless Lema amethibitisha kwamba amepigiwa simu na Polisi Arusha na kutakiwa kuwepo kituo kikuu leo hii bila kukosa.

Kwenye ukurasa wake wa Twitter Lema ameandika Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti kituo kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa, sijaelezwa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana lakini nafikiri kupigania haki ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. MSIOGOPE”

Kwenye maandishi hayo Mbunge wa Kigoma Mjini ambae pia ni Kiongozi wa Chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe alimjibu, bonyeza play hapa chini kusoma maneno 42 aliyoyaandika

VIDEO: GODBLESS LEMA AFUNGUKA KUTEKWA KWA MOHAMMED DEWJI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

MO DEWJI APATIKANA, HUYU HAPA MWENYEWE AKIONGEA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

VIDEO: IGP SIRRO ALIVYOFIKA KWENYE ENEO MOHAMMED DEWJI ALIPOTELEKEZWA NA WATEKAJI… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments