Top Stories

MSIBA WCB: Chanzo cha vifo vya Mashabiki wawili wa WCB kwa mpigo

on

Mashabiki wawili wa WCB Philly Nevvo na Shangari wametawala kwenye social media weekend hii baada ya mauti kuwakumba wote kwa pamoja. AyoTV na millardayo.com zimempata Kaka wa Shangari msibani na kuelezea chanzo cha kifo chao ikiwemo mazingira kilivyotokea.

Kaka wa Shangari ambaye amejitambulisha kwa jina la Hamisi Gaga amesema kuwa wawili hao walipata ajali wakati wakiwa njiani na ndani ya gari walikuwa watatu ambao wote walifariki baada ya ajali, mwili wa Shangari umesafirishwa kuelekea Moshi January 21, 2018 kwa ajili ya maziko.

Bonyeza PLAY kumsikiliza ndugu wa marehemu Shangari akizungumza..

MSIBA WCB: Mashabiki wawili wa WCB waliokufa siku moja Chalinze

Irene Uwoya “Kinachoniuma mwanangu amekosa Baba, Baba yake alikuwa na watoto wengi”

Soma na hizi

Tupia Comments