Premier Bet
TMDA Ad

Mix

EXCLUSIVE: Kama umewakumbuka Makomando, tegemea hili, Fredy Komando kafunguka

on

Msanii Fredy ambaye alikuwa kwenye kundi la Makomando kabla halijavunjika amezungumza kuhusu kelele za mashabiki zinazodai kulimiss kundi la Makomando ambapo Fredy kasema kama itatokea mtu akawa tayari kuwasimamia watarudi kuwa pamoja kama zamani lakini kwa sasa kila mtu anapambana kivyake.

ISIKUPITE HII YA GARDNER KUFUNGUKA KUTAKA KUFUNGUA RADIO NA TV YAKE

Soma na hizi

Tupia Comments