Top Stories

EXCLUSIVE: Mwakasege baada ya Kifo cha mwanae arudi tena

on

Mwezi October 2018 mwalimu wa neno la Mungu kutoka Arusha Christopher Mwakasege alipata msiba wa kumpoteza mwanae wa kiume aitwae Joshua MwakasegeSasa leo Nov 30, 2018 AyoTV na Milllardayo.com zimewapata viongozi kutoka katika huduma ya Mwakasege ambao wamezungumza haya ikiwa ni ujio mpya wa Mwalimu Mwakasege.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

EXCLUSIVE: Baada ya Makchicken sasa imetangazwa Mak Water 

Soma na hizi

Tupia Comments