Msanii wa Bongomovie Wastara amerejea nchini baada ya kwenda nchini India kwa ajili Matibabu ya mguu wake amabapo kipindi cha nyuma Watanzania waliguswa na tatizo lake hilo na kumsaidia michango mmoja wapo akiwa Rais John Magufuli.
Ayo Tv na millardayo.com imempata na amelezea safari yake kiujumla ikiwa pamoja na marufuku ambayo amepigwa na Madaktari baada ya matibabu.
Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza STORY KAMILI ya WASTARA akielezea..
WASTARA AMEFIKISHA ZAIDI YA MILION 37 AMSHUKURU JPM, ALIKIBA NA WENGINE