Michezo

LA Lakers Bingwa wa NBA 2020, LeBron ang’aa tena

on

Staa wa LA Lakers LeBron James leo ameshinda taji la NBA 2020, Lebron anakuwa kashinda mataji manne ya NBA akiwa na timu tatu tofauti.

LeBron akiwa ndio kwanza ana umri wa miaka 35, ameshinda taji hilo akiwa na vilabu vya Miami Heat 2, Cleveland Cavaliers 1 na LA Lakers mara 1.

Baada ya Ubingwa huo wa LA Lakers leo dhidi ya Miami Heats katika game 6 ya NBA, umemfanya LeBron kupewa tuzo ya MVP ya mchezaji mwenye thamani zaidi katika fainali za NBA baada ya kushinda Ubingwa 2012, 2013, 2016 na 2020.

Soma na hizi

Tupia Comments