Top Stories

Jamaa apiga simu polisi baada ya kufuatwa na Nguruwe Marekani

on

Jamaa mmoja kutoka katika jimbo la Ohio nchini Marekani aliwapigia simu Polisi siku ya Jumamosi ya May 19,2018 akiripoti kusumbuliwa na Nguruwe kitu kilichowashangaza Polisi hao na khisi pengine mtu huyo alikuwa anaota au alikuwa amelewa.

Mtu huyo ambaye alikuwa anasumbuliwa na kuandamwa na Nguruwe wakati akiwa anaenda nyumbani kwake mida ya saa 11 Alfajiri aliwapigia polisi simu na ndipo polisi hao walifika aneo la tukio mida ya saa 11:26 Asubuhi na kumkuta jamaa huyo ajalewa bali ni kweli nguruwe alikuwa akimsakama.

Kupitia ukurasa wa Facebook wa Polisi wa kituo cha Ridgeville Kaskazini walisema kuwa ...>>>”Tulifika kwa mwanamume huyo tuliyedhani alikuwa mlevi na kwamba alikuwa anaelekea nyumbani kutoka kwenye baa saa 11:26 asubuhi”

 

Via BBC

EXCLUSIVE: Nyoshi kafunguka kutumia mkorogo, ametaja mastaa wanaotumia

Mke anayedai Mume wake kafufuka, aonyesha kaburi lilivyotitia, aelezea tukio

Soma na hizi

Tupia Comments