Michezo

LaLiga kurejea kwa tahadhari kubwa/wachezaji kukaa karantini

on

Ligi Kuu Hispania LaLiga leo Jumatatu ya May 4 Wachezaji wameanza mazoezi binafsi na kati ya Alhamisi na Jumamosi wanaweza kurejea uwanjani, uamuzi uliopo Ligi itarejea wachezaji wa vilabu vyote 20 wakiwa wamepima corona.

Pamoja na hayo inashauriwa kuwa wachezaji hao inawabidi waishi mbali na familia zao kwa maana ya hoteli za timu kama karantini wakati huu wakimalizia msimu wa LaLiga 2019/20, LaLiga inatarajiwa kuwa na uwezekano wa kurejea mwishoni mwezi May au mwanzoni wa mwezi June.

Wataalam wa afya wanashauri wachezaji hao kukaa hotel na mbali na familia zao sababu inaaminika kuwa itasaidia wao kumaliza msimu wakiwa salama, Mkurugenzi wa  Public Health and Preventative Medicine kutoka chuo kikuu cha Madrid Fernando Rodriguez ameshauri.

“Kama kweli tunataka kumlinda Lionel  Messi anatakiwa kujitenga, wachezaji wanaweza kuambukizwa halafu wakaenda kucheza na watoto wao nyumbani”>>>Rodriguez

VIDEO: JIPYA UKITAKA FARU AITWE JINA LAKO KAMA FARU JOHN SASA UNALIPIA FEDHA

Soma na hizi

Tupia Comments