Michezo

Umeona alichoandika kipa wa Arsenal baada ya kufungwa 5-1 na Liverpool jana?

on

article-2554698-1B4CB9D800000578-340_636x418

Muda mfupi baada ya mchezo wa jana wa ligi kuu ya England kati ya Arsenal na Liverpool ambao uliisha kwa matokeo ya Liverpool kuichapa Arsenal 5-1, kipa wa klabu ya Arsenal Wojciech Szczesny alitumia akaunti yake ya mtandao wa kijamii kuwaomba msamaha mashabiki wa timu hiyo kwa kipigo hicho.

Aliandika: “Ilikuwa ni aibu kubwa, samahani kwa yoyote aliyekaa dakika zote 90 kuangalia hiyo mechi”

Screen Shot 2014-02-09 at 12.55.50 PMScreen Shot 2014-02-09 at 12.56.23 PM

Tupia Comments