Habari za Mastaa

Naona watu wangu wa Iringa wameletewa hii night club mpya.

on

3Kwa wewe mtu wangu ambaye ni mkazi wa 92.9 Iringa hebu ichukue hii kwa ajili yako nimepata taarifa kuwa kwa sasa Iringa imepata Club mpya na ya kisasa ambayo kwa taarifa za awali nimeambiwa February 14 siku ya Valentine ndiyo uzinduzi wake.

5Club hiyo ambayo ina vitu vingi vya burudani kwa wateja wake kukufanya usiwe bored ambapo kuna flat screen za kutosha na nimeambiwa hadi toilet pia kuna sehemu za kuvutia sigara, varanda ya juu, sehemu saba (4) za baa, jiko na TV zaidi ya 9 zote kubwa zilifungwa chanel mbalimbali kwa wateja wake.

7Club hii inaitwa La-parte na  iko chini ya Ebony Entartainment.

8

4

2

 

Tupia Comments