Mix

Latest News:Kutoka kwenye jengo lililokuwa linaungua moto leo Kariakoo.

By

on

latestKwa sasa vikosi vya zimamoto vimefanikiwa kuuzima moto huu,wakiongozwa na kikosi cha zimamoto kutoka uwanja wa ndege[Airpot]Madhara,hasara bado hazijatangazwa pia hakuna taarifa ya mtu kupoteza maisha wala mtu aliyejeruhiwa kutokana na moto huo,Jengo hili ndipo zilipo ofisi msambazaji wa kazi mbalimbali za wasanii anaitwa Mamu,hili ni jengo la Ghorofa 7.

3Hizi ni picha baadhi zikionyesha moto ulivyokuwa unawaka mpaka kuzimwa.

8

11

10

9

16

13

 

Tupia Comments