AyoTV

VIDEO: ‘Wabunge tutimize wajibu na sio kulalamika kwakua tunalipwa’ -Hussein Bashe

on

Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ni mmoja kati ya wabunge waliopata nafasi ya kusimama bungeni kuchangia muswada wa sheria ya upataji wa taarifa wa mwaka 2016 (The acess to information bill 2016) ambapo katika hoja zake amekosoa baadhi ya vipengele vilivyowekwa.

Lakini pia Hussein Bashe amewataka wote kuungana kutimiza wajibu wa kisheria katika kutimiza majukumu yao ya kusimamia sheria na sio kulalamika mara kwa mara.

Unaweza kuendelea kumsikiliza Bashe katika hii video hapa chini..

ULIMIS MBUNGE HUSSEIN BASHE ALIVYOONGELEA ISHU YA MAHAKAMA YA MAFISADI

Soma na hizi

Tupia Comments