Mix

VideoFUPI: Mwanasheria Lawrance Masha ajiondoa kuwania Urais wa TLS

on

Wakati kesho kukitarajiwa kufanyika uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika, leo March 17 2017 wanasheria hao wamekuatana Arusha kwenye mkutano mkuu wa chama cha wanasheria hao.

Moja ya yaliyojitokeza ni pamoja na aliyekuwa mgombea wa Urais wa TLS, Mwanasheria Lawrance Masha kutangaza kujiondoa kuwania Urais huo, amesema anamuunga mkono Tundu Lissu na kura zake apigiwe Tundu Lissu.

VIDEO: Lissu alivyoingia kwenye mkutano wa wanasheria wakati mke wake akichangia hoja, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments