Duniani

kama siku yako haijafika ni haijafika tu… tazama hizi dakika 9 uone watu wanavyokoswakoswa

on

Ni kumuomba Mungu tu siku zote na kama hajapanga hiyo siku iwe ya mwisho kwako, hata iweje haitakuwa ya mwisho…. kwenye hii video hapa chini kuna mkusanyiko wa matukio ya dakika 9 ya watu waliokoswakoswa haswaaa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments