Video Mpya

VideoMpya: ‘Check It’ ya Chin Bees kutoka katika Album yake “Ladha”

on

Kutoka Wanene Entertainment nakusogezea Brand New Video kutoka kwa moja ya wakali kutoka A Town Chin Bees inaitwa  “Check It” Producedr akiwa ni Goncher na Video ikiwa imeongozwa na Director na Destro.

Baada ya kuitazama usisahau ku-comment ili Chin Bees akipita aweze kuona umeipokeaje “Check It”

FULL STORY: SAFARI YA WASTARA INDIA, AELEZA ALICHOPIGWA MARUFUKU NA MADAKTARI

Soma na hizi

Tupia Comments