AyoTV

VIDEO: Walichosema Lema na Mnyika kuhusu mauaji ya Kibiti

on

Headlines za mauaji ya raia wasiokuwa na hatia katiaka Wilaya ya Kibiti, Pwani zinaendelea kuzungumziwa ambapo leo June 29, 2017 Wabunge Goodbles Lema na John Mnyika wa CHADEMA kwa nyakati tofauti walisimama Bungeni kuliongelea huku wakiilaumu Serikali kushindwa kulitatua tatizo hilo.

VIDEO: Onyo la Waziri Nchemba kwa Wabunge wanaoshabikia mauaji ya KIBITI 

Soma na hizi

Tupia Comments