Habari za Mastaa

Pichaz za mastar wa Isidingo waliyohudhuria ibada ya Mazishi ya Lettie Matabane.

By

on

hqdefaultHizi ni pichaz zinzowaonyesha Mastar kadhaa wa Isidingo jinsi walivyohudhuria ibada ya Mazishi ya Lesego Motsepe maarufu kama Letty Matabane ambaye ni staa wa tamthilia ya Isidingo inayoonyeshwa kupitia  kituo cha televisheni cha Itv.

XTS_Motsepe005-607x404   baadhi ya waombolezaji wakifatilia ibada iliyokua ikiendela kanisani.

Former Isidingo star Tshepo Maseko joins mourners attending the memorial of South African actress Lesego Motsepe, 23 January 2014, at the SABC in JohannesburgHuyu nu Parsons’ wa Isidingo ambaye kwenye tamthilia ya Isidingo alikuwa anacheza kama dada yake.

Darlington+Michaels,+who+plays+Bra+G+in+Isidingo                                Huyu ni Bra G

Hii ilikua ni kwenye ibada ya mazishi ya Lettie Matabane iliyofanyika January 25 Johannesburg nchini Afrika Kusini

Tupia Comments