Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Mbunge Godbless Lema baada ya kuachiwa kwa dhamana
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Mbunge Godbless Lema baada ya kuachiwa kwa dhamana
AyoTV

VIDEO: Mbunge Godbless Lema baada ya kuachiwa kwa dhamana

March 3, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo March 3, 2017 imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambapo Mahakama hiyo ilimtaka Lema asaini bondi ya shilingi milioni 1 na wadhamini wawili wenye vitambulisho vinavyotambulika ambapo alikidhi vigezo na kuachiwa huru.

Baada ya kuachiwa kwa dhamana mbunge Lema ameyazungumza haya.…….>>>“Namshukuru sana mke wangu na kama ningepata fursa ya kumuoa ningemuoa tena yeye, nikisema niongee leo sitaweza nimeandaa waraka kwa ajili ya mheshimiwa Rais na nitautoa hivi karibuni nimeona mateso mengi ya watu”-Mbunge Lema

VIDEO: Maamuzi ya mahakama kuu kuhusu ombi la Mbowe kutaka asikamatwe na Polisi, Bonyeza play hapa chini

You Might Also Like

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

TAGGED: Ayo TV, TZA HABARI
Edwin Kamugisha TZA March 3, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article EXCLUSIVE: Alichokizungumza katibu mkuu Yanga kuhusu tetesi za Hans Pluijm kufukuzwa (+Video)
Next Article U HEARD: Majibu ya Alikiba kuhusu Jokate kutoonekana Airport kumpokea
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Top Stories

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?