Habari za Mastaa

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mpendwa wetu Ruge, mambo haya hayatasahaulika

on

Leo ikiwa ni Mei Mosi ambayo ni siku ya wafanyakazi Duniani lakini pia ni siku ya kuzaliwa kwa aliekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Rugemalira Mutahaba ambae aliefariki nchini Afrika Kusini February 26, 2019 na kuzikwa nyumbani kwao Bukoba. 

Miongoni mwa vitu alivyokuwa akisifiwa ni utashi  na ubunifu wake kwenye tasnia ya Habari hata Burudani, sasa hapa nimekusogezea moja ya mahojiano aliyowahi kufanya katika kipindi cha Mkasi kinachoendeshwa na Salama Jabir. Bonyeza ufahamu mambo ambayo hayatasahaulika kutoka kwa Ruge Mutahaba.

MILLARDAYO: IMENITOA MACHOZI, BOSS RUGE AMENIIBUA NAJIULIZA NANI ATATUSHIKA MKONO

 

Soma na hizi

Tupia Comments