Michezo

Kama utapata nafasi ya kutembelea jiji la Barcelona, Messi anafungua mgahawa kwa ajili yako (+Pichaz)

on

Jina la Lionel Messi sio geni duniani kote kutokana na umahiri wake na urafiki wake mkubwa na tuzo za Ballon d’Or kwa ndio mchezaji anayeongoza kwa kutwaa tuzo hizo mara tano, headlines za March 22 ni kuwa staa huyo ameamua kutanua wigo wa kipato chake.

esboco-do-bellavista-del-jardin-del-norte-restaurante-em-barcelona-que-tera-como-um-dos-socios-o-atacante-lionel-messi-1458578281271_620x395

Hii ni picha ya ramani ya mgahawa huo namna utakavyokuwa

Messi kwa kushirikiana na kaka yake Rodrigo wameandikwa kuwa wapo katika harakati za mwisho za kufunguwa mgahawa utakaoitwa Bellavista del Jardín del Norte utakuwa katikati ya jiji la Barcelona. hiyo itakuwa nafasi ya watu wao wa nguvu kupata chakula watokao nje na ndani ya Barcelona.

img_ebernal_20160315-170813ta-kgXB-U40448842476LDD-992x558@LaVanguardia-Web

Hii ni picha ya ramani ya mgahawa huo namna utakavyokuwa

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments