Taarifa zilizotoka zinasema Motsepe ambae alijitangaza kuishi na virusi vya UKIMWI mwishoni mwa mwaka 2011 amekutwa amefariki saa tano asubuhi nyumbani kwake.
![Hii picha hapa na hiyo ya juu ni wakati alipokua kwenye hiyo interview ambayo unaweza kuitazama hapa chini.](http://dxzccmtp98vpc.cloudfront.net/wp-content/uploads/2014/01/Screen-Shot-2014-01-20-at-10.21.07-PM.png)
Kama hii taarifa ilikupita unaweza kusoma kwenye post iliyopita ila kwa post hii nakupatia nafasi utazame tu interview yake ya TV aliyoifanya December 2013.