Taarifa zilizotoka zinasema Motsepe ambae alijitangaza kuishi na virusi vya UKIMWI mwishoni mwa mwaka 2011 amekutwa amefariki saa tano asubuhi nyumbani kwake.
Kama hii taarifa ilikupita unaweza kusoma kwenye post iliyopita ila kwa post hii nakupatia nafasi utazame tu interview yake ya TV aliyoifanya December 2013.